Sunday, May 3, 2009

Special kwa Mdau wa Ughaibuni

Kikosi cha Simba kilichoshika nafasi ya pili katika msimu huu 2008/09/ Mwenye suti ndiye Coach mkuu Patrick Phiri.Bahati mbaya timu zetu hazina utamaduni wa kupiga picha ya pamoja na wachezaji wote waliosajiliwa ktk msimu n kuziuza.Hii ingeweza hata kuongeza kipato kidogo.

1 comment:

  1. Ndugu yangu nashukuru sana kwa juhudi yako,picha nimeiona tutakuwa pamoja katika blogu hii!

    Mdau wako Ughaibuni(Canada)

    ReplyDelete